❤️ “A Little Confession” Create and share this ❤️ “A Little Confession” animated message with MAKYAMA MESSAGES. SIKU YA KWANZA ✦ Hey, ... Kuna kitu kidogo nimekuwa nikitaka kukuambia. Fungua ujumbe ✨ KABLA HUJAENDELEA... ? Unajua kitu? Kuna watu unakutana nao mara ya kwanza, lakini somehow wanakufanya utake kuwajua zaidi. E SIKU YA KWANZA ✦ Hey, ... Kuna kitu kidogo nimekuwa nikitaka kukuambia. Fungua ujumbe ✨ KABLA HUJAENDELEA... ? Unajua kitu? Kuna watu unakutana nao mara ya kwanza, lakini somehow wanakufanya utake kuwajua zaidi. Endelea 👀 NA WEWE... ♥ Sijui kama ni tabasamu lako, namna unavyozungumza, au ni wewe tu... Gusa hapa ❤️ UKWELI MDOGO ✦ ✧ ✦ Honestly... Siku ya kwanza tu, lakini tayari umenifanya nitabasamu bila sababu. Kuna kingine... 👇 SWALI MOJA Nikitaka kukujua zaidi... Utanipa nafasi? Labda ❤️ Tuone kwanza 😌 ♥ UJUMBE WA MWISHO , Basi tusikimbilie... tuanze tu kujuana. ❤️ — Mtu anayetamani kukujua zaidi ✦ Anza tena ↻